3% YA MISHAHARA KUCHANGIA HAZINA YA TAIFA YA MAKAZI
Written by Living Tarimo on April 24, 2023

KENYA: WAFANYAKAZI WATAKIWA KUCHANGIA 3% YA MISHAHARA YAO KWA HAZINA YA TAIFA YA MAKAZI
–
Rais #WilliamRuto amesema Wakenya sasa watakuwa wakichangia asilimia 3 ya mapato yao kwenye Mfuko wa Ujenzi wa Nyumba za Bei Nafuu ili kuwasaidia watu wengi zaidi kununua na kumiliki nyumba hizo
–
Amesema wakati Serikali inapoanzisha mpango huo wa ujenzi lazima kuwe na mpango madhubuti unaolenga kushughulikia ufadhili wa watu wenye kipato cha chini
–
Amesema, “Kila mfanyakazi anayechangia asilimia 3, Sheria itamlazimisha mwajiri wao pia kuchangia asilimia 3 kwenye mfuko huo”
Cc: @dmkglobal @makirijulius
#Megafm2023TukoVizuri#weglobal🌎🇹🇿🇺🇸