Presenter search 2023

Written by on February 23, 2023

Hello Arusha Je Wewe una sauti nzuri na yenye mvuto..??? na umejitafuta weeee sanaa hujajipata baasi ondoa shaka tukwambie umejipata.@megafm_tz Inatafuta Watangazaji wenye sauti Nzuri wa Radio na Tv ( Presenter Search ) hii ni kwa ajili yako wewe mwenye Kipaji cha kutangaza vyema kwenye Maiki na sauti yako itakayokupa wewe ajira. Ni Jumamosi hii tarehe 25 mwezi huu wa Pili ni pale Life Fitness Club Uzunguni kuanzia saa tatu asubuhi wahi onyesha kipaji chako #Sauti yako Ndo Mchongo kwako

Hello Arusha Je Wewe una sauti nzuri na yenye mvuto..??? na umejitafuta weeee sanaa hujajipata baasi ondoa shaka tukwambie umejipata.
@megafm_tz Inatafuta Watangazaji wenye sauti Nzuri wa Radio na Tv ( Presenter Search ) hii ni kwa ajili yako wewe mwenye Kipaji cha kutangaza vyema kwenye Maiki na sauti yako itakayokupa wewe ajira.
Ni Jumamosi hii tarehe 25 mwezi huu wa Pili ni pale Life Fitness Club Uzunguni kuanzia saa tatu asubuhi wahi onyesha kipaji chako
#Sauti yako Ndo Mchongo kwako


Reader's opinions

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *Continue reading

Current track

Title

Artist