Author: hilonga

 

 

Idara ya Haki nchini Marekani imekanusha taarifa kuwa raia wa Nigeria, Ramon Abbas, maarufu #Hushpuppi, ametekeleza wizi wa $400,000 (TZS milioni 926) kwa njia ya mtandao akiwa gerezani. Taarifa ambayo imekuwa ikisambaa kwenye mitandao na tovuti mbali mbali duniani. Hii ni kwa mujibu wa tovuti ya BBC Pidgin. Hushpuppi alikamatwa mwaka 2020 kwa tuhuma za wizi […]

Mwanamuziki @diamondplatnumz amekosoa uamuzi wa Shirikisho la Muziki Tanzania kumteua Steve Nyerere kuwa msemaji wa Shirikisho hilo. Kupitia insta stories, Diamond Platnumz ameandika yake ya moyoni huku akimgusa moja kwa moja Katibu Mkuu wa Shirikisho hilo Fareed Kubanda (@therealfidq)

Cardi B ameliacha dili nono lenye thamani ya ($30M) zaidi ya TSh. Bilioni 69 kwa kujiengua kwenye nafasi ya uhusika mkuu wa filamu ya ucheshi ‘Assisted Living’ ambayo inatayarishwa chini ya kampuni ya Paramount Movies. Cardi anatajwa kuwa amefanya maamuzi hayo kutokana na kuzidiwa na ratiba zake. Kwa mujibu wa tovuti ya Deadline, Cardi B […]

Asteria Muhozya na Abubakari W Kafumba – UAE Tanzania imekutana na Kampuni ya CMA CGM inayojishughulisha na masuala ya usafirishaji wa mazigo yenye Makao Makuu yake Dubai ikiwakilishwa na Mkurugenzi wa Biashara wa kampuni hiyo kwa upande wa Afrika Gulliaume Adam. Gulliaume ametaka kujua kuhusu maendeleo ya sekta ya madini na kueleza nia ya kampuni […]


Current track

Title

Artist