News Update

Nchi ili iweze kuendelea ipo haja kuwekeza kwenye rasilimali watuRAIS Mstaafu Jakaya Kikwete, amesema nchi ili iweze kuendelea ipo haja ya kuwekeza kwenye rasilimali watu, kwa kuwaendeleza katika elimu kuanzia ngazi ya awali hadi chuo kikuu, bila kusahau mafunzo ya ufundi.Amesema nchi yeyote duniani iliyoendeleza kwa watu wake, kwa kuwaendeleza kielimu kwa ngazi ya chini [...]
Twitter inaangalia uwezekano wa kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Meta kuhusu programu yake pinzani inayokua kwa kasi ya Threads.Threads, ambayo ilizinduliwa kwa usajiri wa mamilioni ya watu siku ya Jumatano, ni sawa na Twitter na imeanzishwa na wakuu wa Meta kama programu mbadala "rafiki".Mmiliki wa Twitter Elon Musk na Kampuni yake walisema "ushindani ni [...]
"Wazazi wanatakiwa kujua kama wameunda familia wao ndio serikali ya familia, ndio viongozi wa familia, huko ndani mumtafute Rais wenu, makamu wenu na Waziri Mkuu, humo ndani lazima mjigawe kwenye mamlaka na msikilizane" - @gwajimad, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
Wapenzi hao wamekutwa wakifanya kitendo hicho eneo la Madhabau Nchini #Uganda na kusababisha kikundi cha Waumini kadhaa kuapa kutoingia tena katika Kanisa hilo lililopo Wilaya ya Kayunga-Tukio limewahusisha Kijana muumini wa Kikatoliki mwenye Miaka 23 ambaye ni Mume wa Mtu na Binti wa Dhehebu la Kiislamu ambaye alitalikiwa hivi karibuni, ambapo walifumaniwa na Mke wa [...]
Haya ni maonesho ya Biashara yanayojulikana kama Sabasaba yalianza Mwaka 1962 yakiwa ni maonesho ya biashara yaliyokuwa yakifanyika katika Viwanja vya Wizara ya Biashara na Ushirika, yakilenga kukuza Biashara na ushirika-Maonesho haya yamekuwa yakishirikisha Nchi takribani 20 kutoka kusini mwa Afrika (SADC) na yanajulikana kama maonesho ya Biashara ya Kimataifa Dar es SalaamCc: @dmkglobal @makirijulius#Megafm2023TukoVizuri#weglobal
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 7, 2023
Kwa mara ya kwanza baada ya miaka 20 Wagonjwa wapya watatu wa malaria wamegundulika Nchini Marekani huku Mgonjwa mmoja akitokea katika jimbo la Texas na wawili wakiwa katika jimbo la Florida ambapo kilichosababisha gumzo zaidi na hofu ni kwamba Wagonjwa hawa watatu hawakuwa wamesafiri kwenda nje ya Nchi.Rekodi zinaonesha kuwa mara ya mwisho Marekani kuwa [...]
Mkurugenzi Mstaafu wa Tume ya Kupambana na Rushwa Kenya, Profesa Patrick Loch Otieno Lumumba na Mwandishi na 'Mswahili,' Joram Nkumbi ni miongoni mwa wageni walioshiriki kikao cha bunge leo Juni 23, 2023 jijini Dodoma.Cc: @dmkglobal @makirijulius
Bunge limeahirisha ratiba ya shughuli zake za siku kwa muda mfupi ili kutoa nafasi ya kujadiliwa suala la ununuzi wa mahindi na utaratibu wa kusafirisha mazao hayo kwenda nje ya nchi.Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ametoa nafasi hiyo baada ya wabunge kuibua hoja kuwa licha ya kwamba Serikali ilitoa maagizo kwa Wakala wa Taifa [...]

Current track

Title

Artist