Mgombea wa chama tawala Bola Tinubu ametangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais nchini Nigeria.Mwanasiasa huyo mkongwe mwenye umri wa miaka 70 alipata 36% ya kura huku Mpinzani wake mkuu Atiku Abubakar akipata 29% , na Peter Obi wa Labour 25%.
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment.
Living Tarimo
June 27, 2023
June 15, 2023