BUNGE LASHINDA TUZO UANDAAJI WA HESABU

Written by on June 22, 2023

Bunge la Tanzania limepata tuzo ya mshindi wa tatu wa Uandaaji Bora wa Hesabu kwa mwaka 2021.
Akionesha tuzo hiyo bungeni, Spika Dkt. Tulia Ackson amesema imetolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wakati wa maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa bodi hiyo.
Tuzo hiyo hutolewa kila mwaka kwa lengo la kuhamasisha wizara, idara, taasisi, mikoa, mashirika na kampuni binafsi kuzingatia viwango vya kimataifa katika uandaaji wa hesabu.
Cc: @dmkglobal @makirijulius
#Megafm2023TukoVizuri#weglobal🌎🇹🇿🇺🇸


Reader's opinions

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *Current track

Title

Artist