DIAMOND AKOSOA SHILIKISHO LA MUZIKI TANZANIA
Written by hilonga on May 27, 2016
Mwanamuziki @diamondplatnumz amekosoa uamuzi wa Shirikisho la Muziki Tanzania kumteua Steve Nyerere kuwa msemaji wa Shirikisho hilo. Kupitia insta stories, Diamond Platnumz ameandika yake ya moyoni huku akimgusa moja kwa moja Katibu Mkuu wa Shirikisho hilo Fareed Kubanda (@therealfidq)