CHANGAMOTO NI MAHALI PA KULAZA WAGENI

Written by on June 9, 2023

CHANGAMOTO NI MAHALI PA KULAZA WAGENI
“Study [utafiti] ndogo iliyofanyika ni kwamba wageni waliokuja mwaka jana only 30% [asilimia thelathini tu] wamerudi mwaka huu, kwa hiyo that means [ina maana] watu wanakuja ila wanasema Tanzanja mmmh enough hatuendi tena pamoja na vivutio tulivyo navyo”
“Kwa hiyo angalieni kasoro zipo wapi tufanye marekebisho ili wageni wawe wanarudi na wa recommend [wapendekeze] wenzao kuja, lakini kwa takwimu tulizonazo za booking za wageni, wageni ni wengi sana hofu yetu ni mahali pa kulala kwa hiyo jitahidini sana.”
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara, mkutano uliofanyika Ikulu, Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa kitaifa na wadau wa sekta ya biashara.


Reader's opinions

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *Continue reading

Current track

Title

Artist