CHOCHO KWA CHOCHO
Written by Living Tarimo on March 6, 2023

After Matejoo Kwa Giriki Next step hii hapa Kilombero Stendi ya Daladala zote za Arusha. Ni Chocho kwa chocho ifikapo 17/3/2023 kuanzia saa nne asubuhi Hadi saa kumi na mbili jioni Njoo upate burudani za kutosha kutoka kwa Wasanii wa Nyumbani, mashindano ya kula, Star Wa Chocho n.k.
#Megafm2023TukoVizuri
Cc: @dmkglobal @makirijukius