DAVIDO AACHA POST TATU
Written by Living Tarimo on March 15, 2023

Staa wa Muziki kutoka Nchini Nigeria @davido Amefuta Post zake kwenye Ukurasa wake wa Instagram na kuacha Tatu tu kitu ambacho kimeashiria Staa huyo kurudi kwenye mtanado huo baada ya kutokuwepo toka Kifo cha Mtoto wake wa Kiume , #IfienyiAdeleke aliefarki Novemba ,2022.
Staa huyo aliahidi kurudi kwenye Mitandao ya Kijamii Mwezi Machi na kuachia Ngoma zake.
Cc: @dmkglobal @makirijulius
#Megafm2023TukoVizuri#Weglobal🌎🌎