DAVIDO BADO ANAUMIA MSIBA WA MWANAE
Written by Living Tarimo on June 14, 2023

Davido bado anaumizwa na Kifo cha mtoto wake ‘Ifeanyi’ ambaye alifariki dunia Novemba 1 mwaka 2022 kwa kuzama kwenye bwawa la kuogelea nyumbani. Kwenye mahojiano yake na Anas Bukhash, Davido amesema anamkumbuka kila siku na amekuwa akilia kila panapo kucha
“Nimamkumbuka (I miss him) kila siku, kuna machozi huwa yanatoka machoni mwangu kila asubuhi.”
Cc: @dmkglobal @makirijulius
#Megafm2023TukoVizuri#weglobal🌎🇹🇿🇺🇸