DROW YA CAFCC HII HAPA
Written by Living Tarimo on April 6, 2023
Mnyama Simba amepangwa na bingwa mtetezi Wydad Casablanca Katika robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika.
Simba washindwe wenyewe tu na wao njia nyeupe ya kwenda nusu fainali.
Siku zote mkubwa hupangwa na mkubwa mwenzake.
Cc: @dmkglobal @makirijulius
#Megafm2023TukoVizuri#weglobal🌎🇹🇿