GHARAMA YA KUMILIKI SILAHA YAPANDA

Written by on June 15, 2023

“Napendekeza kuongeza ada ya kibali cha kuhifadhi silaha katika maghala binafsi kutoka shilingi 1,000,000 hadi shilingi 1,500,000 kwa mwaka.
Napendekeza kuongeza ada ya kuhuisha umiliki wa silaha za moto za kiraia kama ifuatavyo; (i) Bastola (Pistol) kutoka shilingi 70,000 hadi shilingi 100,000; (ii) Bunduki (Shotgun) kutoka shilingi 35,000 hadi shilingi 50,000 (iii) Gobole (Muzzle loading gun) kutoka shilingi 35,000 hadi shilingi 50,000; (iv) Bunduki (Rifle) kutoka shilingi 35,000.”- Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba


Reader's opinions

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *Current track

Title

Artist