HONGERA TAIFA STARS

Written by on March 24, 2023

HONGERA TAIFA STARS

Msuva “What a touch” pasi nzur kutoka kwa Job👏 nafikiri Tanzania tulikosa utulivu kwenye nafasi ambazo tulipata wakati tunashambulia ingeweza kuwa zaidi ya 1-0(Mzamiru na Mudathir + Himid good performance )
Alama tatu mbele ya Uganda, nafasi ya pili kwenye kundi “Well done”🙌


Reader's opinions

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *Current track

Title

Artist