JUMATATU TUNASHUSHA VYUMA

Written by on June 16, 2023

Klabu ya Simba wamesema kuanzia Jumatatu ya Juni 19-2023 wataanza kuweka wazi majina ya wachezaji ambao hawatakuwa sehemu ya kikosi cha wekundu wa Msimbazi kwa msimu unaokuja wa 2023-24.
Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC Ahmedy Ally amesema kuwa tayari wameshawapa taarifa wachezaji ambao hawatakuwa sehemu ya kikosi huku akisisitiza kwa mashabiki wa Simba watarajie maboresho makubwa kwa msimu ujao.
Cc: @dmkglobal @makirijulius
#Megafm2023TukoVizuri#weglobal🌎🇹🇿🇺🇸


Reader's opinions

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *Current track

Title

Artist