KODI YA MAFUTA KUONGEZEKA KUTOKA ASILIMIA 8 HADI 16
Written by Living Tarimo on June 22, 2023

Wabunge nchini Kenya wamepitisha Muswada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2023 ambao pamoja na mambo mengine unaongeza kodi (VAT) kwenye mafuta kutoka asilimia 8 hadi asilimia 16.
Kwa muswada huo ambao umepingwa vikali na wabunge wa Azamio, bei ya mafuta itaongezeka kwa TZS 170.
Cc: @dmkglobal @makirijulius
#Megafm2023TukoVizuri#weglobal🌎🇹🇿🇺🇸