KWANINI KUNA SIKU YA SABA SABA ?
Written by Living Tarimo on July 7, 2023

Haya ni maonesho ya Biashara yanayojulikana kama Sabasaba yalianza Mwaka 1962 yakiwa ni maonesho ya biashara yaliyokuwa yakifanyika katika Viwanja vya Wizara ya Biashara na Ushirika, yakilenga kukuza Biashara na ushirika
–
Maonesho haya yamekuwa yakishirikisha Nchi takribani 20 kutoka kusini mwa Afrika (SADC) na yanajulikana kama maonesho ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam
Cc: @dmkglobal @makirijulius
#Megafm2023TukoVizuri#weglobal