MADEE ATANGAZA KUACHA MUZIKI
Written by Living Tarimo on June 22, 2023

Kupitia ukurasa wake wa Twitter rapa huyo mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva @madeeali ameandika haya:
“Umri wangu umekwenda sana,na namshukuru Mungu kwa huu muda alionipa,coz nimeshuhudia marafik wengi sana hawakubahatika kufika 40+,why me?asante Mungu,nnachosikitika nikuchelewa kua mtu mwengine,
Umaarufu mbaya sana,nmeamua kuacha yote,naanza nahili STAKI TENA MZIKI na mengineyo🙏”
Unahisi @madeeali anaacha muziki au ana project mpya inakuja??