MAHALI ANAPO LALA ELON MUSK

Written by on April 13, 2023

Mmiliki wa mtandao wa Twitter Elon Musk Ni Moja Kati Ya Matajiri wakubwa duniani akiwa anamiliki zaidi ya Trillion 460.Mara nyingi kumekuwa na taarifa kuwa Elon Musk ni tajiri ambae hamiliki nyumba hata moja ya kuishi na chumba hicho unachokiona (Kwenye picha) ndicho chumba anacholala.SWIPEBaada ya shabiki kupost sehemu hiyo anayolala , Elon Musk alimjibu kwa kumwambia hajakosea sana maana hata weekend iliyopita alilala kwenye Kochi nyumbani kwa rafiki yake.

Umejifunza nini kutoka kwa tajiri ELLON MUSK?

Cc: @dmkglobal @makirijulius 

#Megafm2023TukoVizuri#weglobal🌎🇹🇿🇺🇸

Mmiliki wa mtandao wa Twitter Elon Musk Ni Moja Kati Ya Matajiri wakubwa duniani akiwa anamiliki zaidi ya Trillion 460.Mara nyingi kumekuwa na taarifa kuwa Elon Musk ni tajiri ambae hamiliki nyumba hata moja ya kuishi na chumba hicho unachokiona (Kwenye picha) ndicho chumba anacholala.SWIPE
Baada ya shabiki kupost sehemu hiyo anayolala , Elon Musk alimjibu kwa kumwambia hajakosea sana maana hata weekend iliyopita alilala kwenye Kochi nyumbani kwa rafiki yake.
Umejifunza nini kutoka kwa tajiri ELLON MUSK?
Cc: @dmkglobal @makirijulius
#Megafm2023TukoVizuri#weglobal🌎🇹🇿🇺🇸


Reader's opinions

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *Current track

Title

Artist