PEP GUARDIOLA AMKATAA MBAPPE?
Written by Living Tarimo on June 20, 2023

Pep Guardiola amesema kuwa Manchester City haina mpango wa kumsajili Kylian Mbappe, ambaye kandarasi yake na Paris Saint-Germain itafikia mwisho mwishoni mwa msimu ujao.
“Manchester City haitachukua hatua yoyote ya kumfuatilia Mbappe, kila mmoja anafahamu wapi anahitaji kwenda,” Guardiola
Kocha huyo wa Catalan amedai Mbappe tayari ameshafanya chaguo kwa kutamani kujiunga na Real Madrid.