SamiaSuluhu Hassan amemteua Prof. Abel Makubi (Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya Afya
Written by Living Tarimo on June 8, 2023
UTEUZI:SamiaSuluhu Hassan amemteua Prof. Abel Makubi (Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya Afya
kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa (#MOI) akichukua nafasi ya Dkt. Respicious Boniface ambaye amemaliza muda wake
–
Omar Issa ameteuliwa kuwa Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) akichukua nafasi ya Gharib Bilal (Makamu wa Rais Mstaafu) ambaye amemaliza muda wake
–
Amemteua Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee kuwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) akichukua nafasi ya Balozi Dkt. Marten Lumbanga aliyemaliza muda wake
–
Dkt. Edwin Mhende ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya NMB Plc kwa kipindi cha pili