SUDAN: VITA YASITISHWA KWA SAA 72 KURUHUSU UTOAJI WA MISAADA YA KIBANADAMU

Written by on June 19, 2023

Ni baada ya pande 2 hasimu kukubaliana kusitisha mashambulizi na kuruhusu watu kutembea ili kuwezesha utoaji na ufikiaji wa misaada ya kibinadamu
Tokea Aprili 15, 2023, Jeshi linaloongozwa na Abdel Fattah al-Burhan, limekuwa likipambana na Vikosi vya Kijeshi vinavyoongozwa na Makamu wake wa zamani Mohamed Hamdan Daglo, baada ya wawili hao kuingia katika mgogoro mkali wa madaraka
Watu zaidi ya 2,000 wameuawa, zaidi ya Milioni 2 wamekimbia makazi hayo huku takriban 528,000 kati yao wakiwa wamekimbilia nje ya Nchi
Cc: @dmkglobal @makirijulius
#Megafm2023TukoVizuri#weglobal🌎🇹🇿🇺🇸


Reader's opinions

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *Current track

Title

Artist