SWEEDEN YAKANUSHA MCHEZO WA NGONO

Written by on June 13, 2023

Takribani siku 10 zilizopita, kulikuwepo na taarifa mbalimbali katika vyanzo vingi vya habari kote ulimwenguni kuhusu taifa la Uswidi kuhalalisha mchezo wa kushiriki mapenzi. Kwa mujibu wa taarifa hizo, taifa hilo la Ulaya lilikuwa taifa la kwanza kabisa kuweka wazi kuhusu mchezo huo na hata kudai kwamba Uswidi walikuwa tayari kuandaa mashindano ya kwanza kabisa kwa watakaojisaliji kushiriki katika mchezo huo.Kichwa cha habari kwenye tovuti ya The Times of India, mojawapo ya magazeti maarufu na yenye sifa nzuri nchini India, kilisomeka kuwa "Uswidi Hivi Karibuni Itaandaa Mashindano ya Ngono ya Ulaya." Walakini, shirika la michezo la Uswidi limekanusha kuwapo kwa hafla kama hiyo, kwa mujibu wa kituo cha habari kutoka Ujerumani, DW.

"Habari hizi zote ni za uongo," Anna Setzman, msemaji wa Shirikisho la Michezo la Uswidi, alisema katika taarifa iliyoandikwa kutoka Stockholm kwa DW. "Kwa sasa, habari za uongo zinaenezwa katika baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa kuhusu Uswidi na michezo ya Uswidi," aliongeza. "Haya yamekanushwa kwa nguvu zote."

Cc: @dmkglobal @makirijulius 

#Megafm2023TukoVizuri#weglobal🌎🇹🇿🇺🇸

Takribani siku 10 zilizopita, kulikuwepo na taarifa mbalimbali katika vyanzo vingi vya habari kote ulimwenguni kuhusu taifa la Uswidi kuhalalisha mchezo wa kushiriki mapenzi. Kwa mujibu wa taarifa hizo, taifa hilo la Ulaya lilikuwa taifa la kwanza kabisa kuweka wazi kuhusu mchezo huo na hata kudai kwamba Uswidi walikuwa tayari kuandaa mashindano ya kwanza kabisa kwa watakaojisaliji kushiriki katika mchezo huo.
Kichwa cha habari kwenye tovuti ya The Times of India, mojawapo ya magazeti maarufu na yenye sifa nzuri nchini India, kilisomeka kuwa “Uswidi Hivi Karibuni Itaandaa Mashindano ya Ngono ya Ulaya.” Walakini, shirika la michezo la Uswidi limekanusha kuwapo kwa hafla kama hiyo, kwa mujibu wa kituo cha habari kutoka Ujerumani, DW.
“Habari hizi zote ni za uongo,” Anna Setzman, msemaji wa Shirikisho la Michezo la Uswidi, alisema katika taarifa iliyoandikwa kutoka Stockholm kwa DW. “Kwa sasa, habari za uongo zinaenezwa katika baadhi ya vyombo vya habari vya kimataifa kuhusu Uswidi na michezo ya Uswidi,” aliongeza. “Haya yamekanushwa kwa nguvu zote.”
Cc: @dmkglobal @makirijulius
#Megafm2023TukoVizuri#weglobal🌎🇹🇿🇺🇸


Reader's opinions

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *



Current track

Title

Artist