USHER ANAPENDA ZAIDI KUTUMBUIZA KWENYE SUPERBOWL
Written by Living Tarimo on April 24, 2023
Mwanamuziki #Usher Ni Miongoni Mwa Wasanii Kutoka Marekani Wenye Hitsong Nyingi Duniani, Lakini Imewashangaza Mashabiki Wengi Kwanini Hadi Leo Hii Hajaitwa Kutumbuiza Kwenye Fainali Za Superbowl Halftime show. Kwenye Interview Na @acceshollywood Hivi Karibuni, Usher Aliulizwa Kama Yupo Tayari Kutumbuiza Kwenye Superbowl
“Nitakuwa Mjinga Nikisema Hapana, Kama Mambo Yakikaa Sawa Kama Vile Nilivyotumaini, Basi Siku Moja Huo Wakati Utafika”
“Nadhani Nina Kazi Nyingi Ambazo Zinaongea Zenyewe, Lakini Kila Mtu Anaisubiri Kwa Hamu Hiyo Performance, Kumuona Michael Jackson Akitumbuiza, Dr Dre, Snoop Dogg ….Nimeona Performance Nyingi Kali Mno Za Mastaa Wakubwa Mbalimbali (Superbowl)” – Usher (Swipe)
Show Ya #SuperBowlHalfTimeShow Ya Mwaka Huu Alikuwa Ni #Rihanna, Je, Unadhani Ya Mwaka 2024 Atakuwa Msanii Gani ?
Cc: @dmkglobal @makirijulius
#Megafm2023TukoVizuri#weglobal🌎🇹🇿🇺🇸