WAPENZI WAFUMANIWA WAKIFANYA NGONO KANISANI
Written by Living Tarimo on July 7, 2023

Wapenzi hao wamekutwa wakifanya kitendo hicho eneo la Madhabau Nchini #Uganda na kusababisha kikundi cha Waumini kadhaa kuapa kutoingia tena katika Kanisa hilo lililopo Wilaya ya Kayunga
–
Tukio limewahusisha Kijana muumini wa Kikatoliki mwenye Miaka 23 ambaye ni Mume wa Mtu na Binti wa Dhehebu la Kiislamu ambaye alitalikiwa hivi karibuni, ambapo walifumaniwa na Mke wa Kijana huyo
–
Wapenzi hao wamedaiwa kuingia ndani ya Kanisa kupitia Dirishani. Baadhi ya waumini wametaka Uongozi wa Kanisa kufanya ibada maalumu ya kulitakasa Kanisa ili kuondoa dhambi hiyo.