WAZAZI NDIO SERIKALI YA FAMILIA
Written by Living Tarimo on July 7, 2023

“Wazazi wanatakiwa kujua kama wameunda familia wao ndio serikali ya familia, ndio viongozi wa familia, huko ndani mumtafute Rais wenu, makamu wenu na Waziri Mkuu, humo ndani lazima mjigawe kwenye mamlaka na msikilizane” – @gwajimad, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum