
Timu ya Yanga Kwenye michuano ya CAFCC hatua ya Robo Fainali , itakutana na River United ambaye alimtoa msimu uliopita Kwenye hatua za awali.
Ni mda wa kulipa kisasi kwa Wananchi?
Cc: @dmkglobal @makirijulius
#Megafm2023TukoVizuri#weglobal🌎🇹🇿🇺🇸